Sep 09, 2018
0 comment
New audio-video ROMANTIC by Wind Divin ft Marembo
kwa mala nyingine tena kijana wenu Wind Divin akishilikiana na Marembo wamekuletea chombo kipya walichokiita ROMANTIC
nyimbo hiyi imetengenezewa kwenye ile studio kali Buja nzima inayojulikana kama Mastermuzik na video yake imetengenezewa na mmoja kati yama director mzuli kwa ma clip video.naomba uitizame hapa chini naamini we mwenyewe utaipenda