Sep 10, 2018
0 comment
Masterland alioneshwa kama anashabikiwa zaidi ya anavyofikiria
siku ile alikua ameenda kumsapoti mwenzake Sat b katika No love tour pale Ngozi,Masterland ameoneshwa na mashabiki wake kama wanampenda saana na walikua wanahitaji aje kuwafurahisha pia walikua wanataka aendelee kuimba hadi kukuche,hawakutaka atoke kwenye stage;pia Masterland na yeye aliwafanyia maajabu ambao walifurahia sana
tupia jicho hapa chini ujionee